WASEMAVYO WENZETU KUHUSU KISWAHILI!!
Tazama maneno yaliyotiwa wino mzito.
Students looking to fulfill foreign language credits or who are interested in attaining an unusual minor now have a new option: Swahili.
In the spring and fall 2010 semesters, K-State will offer two new advanced courses in Swahili — Swahili III in the spring and Swahili IV in the fall. These courses are in addition to the two beginning courses already offered through the department of modern languages.
Robert Corum, professor and head of the department, said the new courses have been established in conjunction with the African Studies center.
“If we’re going to be an international university, we need to offer a wide variety of experiences and languages,” Corum said. “The addition of Swahili III and IV ... will prepare students for a more enriched experience studying abroad. It will also serve to be a good springboard for anyone planning on going to Africa.”
The Swahili language is to Africa what the English language is to America, he said. More than 150 million people speak the language in east and central Africa.
“Swahili is the lingua franca,” said Geofred Osoro, K-State’s newly appointed Swahili instructor. “In other words, [it’s] the language of communication between countries and communities. There are many different languages in Africa, but everywhere you go, most likely the people will know Swahili.”
Because of this, Osoro, who spent his entire adolescent life in Africa before coming to the United States, said those who can speak the language will have greater ease in touring, exploring and researching in the country. Those who might benefit most from these courses, he said, are students planning to study abroad in Africa as well as students who need foreign credits to graduate with a bachelor of arts degree.
Swahili, while very different from the English language, does share some similarities, Osoro said.
“In Swahili, one word has many different meanings and is applicable to many things depending on context,” he said, much like the English language. “This makes it a challenge to students because one day this word means something, and the next day, it means something else.”
Swahili and English also use the same alphabet, Osoro said, which is at least one less worry when studying the language. The vowels, I, A, E, O and U, are the same in lettering, but always sound the same in Swahili, contrary to English.
“Think about toy and tool,” Osoro said. “In Swahili, it always stays the same, the ‘O’ sound. In English, it does not. And I promise you, Swahili is much easier to learn than English.”
Swahili I and II courses are currently available. Enrollment for Swahili III will start in the spring, and IV will be offered next fall.
IMEBEBWA KUTOKA http://www.facebook.com/note.php?note_id=134106904502&ref=nf
7 comments:
Let KiSwahili spread it's wings!
HAKIKA ndugu yangu. Je tusiposimama kukitangaza HATA MAWE YATASIMAMA??? tehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Pengine hatujajua au tunajua ila kutokana na ubishi wetu tunaendelea
kudhani vya wenzetu ni bora! tutakapoamka tutakuwa tumechelewa mno,better wazungu wanaona tuko juu.
Asifiwe Alinanuswe.
Hakika ndugu yangu. Nilifurahia sana kitendo cha mama Salma Kikwete kuwa akihutubia wageni wake alikuwa akitumia Kiswahili. Mungu wangu weeee, siku hizi kabadilika nadhani (kaharibika nadhani), simsikii sana, naona anatwanga kimombo tu. LABDA KAENDELEA ZAIDI!!! AMEPIGA HATUA MAMA YETU MWEEEEE!!! maana ukiendelea MTZD unaongea kiingereza!!! Kudadadeki!!!
Inafurahisha kusikia Kiswahili kinaenezwa kupitia kwa mataifa mengine yenye kujua maana ya Lugha katika maendeleo.Mataifa makubwa yanajua ni kwa nini wapo pale walipo kimaendeleo ni kwa sababu ya Lugha, na kama wanataka kupata kutoka kwa wengine ni vema kwenda kwa Lugha zao. Marekani inatambua hivyo kwamba Lugha kubwa inayokua na ambayo haitokani na kabila la mtu, ni lugha ambayo ni Kimataifa kwa sababu inatohoa maneno kutoka katika bara, hivyo ni lugha ya kujivunia. Lakini ni nani aliyetayari kuuvaa Uafrika wake na Utanzania wake kwa kuzungumza Kiswahili? Wote tunataka kuwa Wamerekani kwa sababu tu wamendela, lakini kwa Lugha gani imewaendeleza? Kiingereza, je sisi tutaendelea kwa lugha za wenzetu? Ni muhimu tukapata mwendawazimu, ambaye ataliongoza taifa katika kufanya mapinduzi ya matumizi ya Lugha na kuhakikisha Fedha nyingi inaenda kwenye eneo la utafiti na uboreshaji wa Lugha ya Kiswahili. Wenzetu wanafanya utafiti kuhusu Lugha zao lakini na hata Lugha za Watu ili waweze kuwapata katika kila kitu wanachofanya. Sisi tunabishana kuhusu lugha yetu wenyewe eti haiwezi kukidhi haja ya kimaendeleo wakati wenzetu wanapambana nayo kujifunza kwa Bidii. Nakubaliana na Ossoro, Kama Amerika na Ulaya wanazungumza Kiingereza je Afrika itaunganishwa kwa Lugha gani kama si Kiswahili. Na Serikali haioni nafasi iliyopo mbele yetu ya kuuza kiswahili? Afrika hakuna lugha nyingine yoyote ya Asili ambayo inaweza kuwaunganisha watu zaidi ya Kiswahili, zingine zote ni za makabila ya Watu. Kheri anayekipa sifa Kiswahili maana ataitwa mwana wa nchi.TANZANIA
Ni mimi mtoto wa Mkulima Andulile
naomba nichangie kwa kutumia shairi lifuatalo:
cha kwake akakikana,kutumai cha wenzake
faham anayo lana,mpiga chake mateke
kila mdharau chake, kuzimu aenda kuona
kitunze na ukinene ,na ukipe haki yake
kisifu ukipe jina,kipambe na kipambike kila mdharau chake kuzimuaenda kuona.
ikiwa wenzetu wameona ni vema tukakienzi na kuongeza matumizi ya lugha hii ambayo inajulikana kama lugha ya Afrika
Shukrani kwa shairi hili zuri. Je twaweza kupiga hatua kubwa zaidi, kwa kujadili NINI KIFANYIKE ILI TUWEZE KUKISUKUMA MBELE KISWAHILI CHETU???
Post a Comment